Makapuku Forum

Makapuku Forum

Screenshot_20210819-192841_Instagram%20Lite.jpg
 
Kocha Mkuu wa klabu ya Manchester United Ole Gunnar Solskjaer ameuomba Uongozi wa Klabu hiyo kuwaongezea haraka sana mikataba mipya nyota watano wa kikosi hicho:

Nyota hao ni Paul Pogba, Bruno Fernandes, Harry Maguire, Luke Shaw na Marcus Rashford.
Screenshot_20210819-195031_Instagram%20Lite.jpg
 
RASMI:

UEFA wametangaza majina ya wachezaji watatu wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa kiume wa mwaka 2021 ( Men's Player of the Year):

Kevin De Bruyne
Jorginho
N'Golo Kanté

Kura yako inaenda kwa nani?
Screenshot_20210819-195237_GBInsta.jpg
 
RASMI: UEFA wametangaza majina ya makocha watatu wanaowania tuzo ya kocha bora wa mwaka 2021 (Men's Coach of the Year):

Pep Guardiola
Roberto Mancini
Thomas Tuchel

Kura yako inaenda kwa nani?
Screenshot_20210819-195400_GBInsta.jpg
 
Wachezaji wetu wameitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania kujiandaa na michezo ya kufuzu Kombe la Dunia.
Aishi Manula
Shomari Kapombe
Israel Mwenda
Mohamed Hussein
Kennedy Juma
Erasto Nyoni
Mzamiru Yassin
John Bocco
Simba Nguvu Moja
Screenshot_20210819-201448_GBInsta.jpg
Screenshot_20210819-201507_GBInsta.jpg
Screenshot_20210819-201525_GBInsta.jpg
Screenshot_20210819-201544_GBInsta.jpg
Screenshot_20210819-201607_GBInsta.jpg
Screenshot_20210819-201626_GBInsta.jpg
Screenshot_20210819-201647_GBInsta.jpg
Screenshot_20210819-201704_GBInsta.jpg
 
“Ni nafasi nzuri kuwaona wachezaji wapya wote, wanafanya vizuri na naridhishwa na namna wanajituma.”- Kocha Gomes akizungumza kuhusu wachezaji wapya kikosini.

Mahojiano kamili yanapatikana kwenye chaneli yetu ya YouTube.

Simba Nguvu Moja
Screenshot_20210819-202420_GBInsta.jpg
 
Wapiganaji wa Taliban wameshika doria na kuwakagua Watu wanaoingia katika uwanja wa ndege wa Kabul jana Alhamisi na kuongeza wasiwasi kuwa wanawazuia Waafghani kuondoka nchini humo ambapo hatua hii imeishangaza Marekani na Washirika wake kwani ni kinyume na ahadi yao.

Marekani imesema imeshangazwa na hatua ya Taliban ya kuwazuia Watu kuondoka nchini humo licha ya kutoa ahadi ya kuwaruhusu Waafghani waliofanya kazi kwa ushirikiano na mataifa ya Magharibi na Washirika wake kuondoka ambapo Naibu Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Wendy Sherman amesema anatarajia kuwa Wanamgambo wa Taliban watatimiza ahadi yao ya kuwarahusu Raia wote wa Marekani na Waafghani wanaotaka kuondoka bila ya kuwawekea vikwazo vyovyote.
Screenshot_20210820-172601_GBInsta.jpg
 
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) leo Ijumaa, inamfikisha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa ya Temeke, Lusubilo Mwakabibi kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka.
Screenshot_20210820-173013_GBInsta.jpg
 
“Tangu makato ya tozo yaanze kwa hizi Wiki 4 hadi leo tumekusanya zaidi ya Bilioni 48, zaidi ya Bil 22 tulishapeleka kwenye maeneo ambayo hayana vituo vya afya (zaidi ya vituo 90), leo tumepeleka zaidi ya Bil 15 kwenye eneo hilohilo na kufanya vituo kuwa zaidi ya 150“

“Kati ya hizi zaidi ya Tsh.Bil 48 tulizokusanya kwenye makato ya tozo kwa hizi Wiki nne, zaidi ya Bil 7 zimepelekwa kwenye madarasa, mtaona wenyewe tumepeleka fedha zijenge vituo 150 ambavyo vinaokoa maisha yetu, pia madarasa zaidi ya 500, ni Watoto wetu wanasoma”

“Ndani ya Wiki hizo nne za makato kwenye miamala kwa miezi hii minne kwa upande wa Zanzibar wamekusanya Bilion 1.6, kwahiyo utaona jambo hili lina matokeo”———Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba, Dar es salaam leo
Screenshot_20210820-173628_GBInsta.jpg
 
“Kwa upande wa tozo ya mafuta kwa July, 2021 tumekusanya zaidi ya Tsh.Bilioni 28 ambazo ni mahususi kwa ajili ya Barabara ambazo hazipitiki na mwezi huu tutakusanya zaidi ya na Bil 20, kama ilivyo kwa tozo za miamala tuna uhakika na huku pia tutakuwa na zaidi ya Bil 48”———Waziri wa Fedha na Mipango, Dr. Mwigulu Nchemba, Dar es salaam leo
Screenshot_20210820-173830_GBInsta.jpg
 
“Leo nikitoka hapa nitakuwa na kikao kuendelea kuweka hizi namba sawa, sio muda mrefu tutatoa tamko ambalo linahusiana na frame work ambayo ina hatua nzuri zaidi, linalohusisha namba ambazo zimeangaliwa kati yetu sisi na wenzetu (watoa huduma za mitandao) ili kuweka mambo sawa“

“Waziri Mkuu atapanga na yeye kikao chake cha kusikiliza kisha tutakuwa na jambo la kuwaambia Watanzania, kwakuwa Watanzania wameendelea kuvumilia siku hizi zote na kuunga mkono Serikali tunaomba waendelee kuvumilia makato haya ya tozo kwa siku hizi chache”———-Waziri wa Fedha na Mipango, Dr. Mwigulu Nchemba, Dar es salaam leo.
Screenshot_20210820-174047_GBInsta.jpg
 
“Hapa katikati kumetokea maneno mengi sana ambayo ni lazima tuyaweke sawa, Watu wanasema utumaji wa kimiamala (kutuma na kutoa pesa) umeshuka na kanakwamba Watu wameacha kutumia miamala, sio kweli, niwaambie tu kwamba Watanzania wameendelea kufanya miamala na bado inacheza humohumo kwenye miamala Milioni 9 hadi Milioni 10 kama ilivyokuwa hapo awali”———Waziri wa Fedha na Mipango, Mwigulu Nchemba, Dar es salaam leo.
Screenshot_20210820-174249_GBInsta.jpg
 
“Haya matatizo mmeshahangaika mara mnavua samaki Jangwani, mnakimbia Jangwani mpaka club yangu ninayoipenda inataniwa, Rais Samia atapiga daraja moja Magomeni hadi Fire juu kwa juu yaani ukiwa kule unakuwa kama unataka kuwa kwenye Ndege, wanaotaka kuvua chini wavue, wale Watani zetu wanaotutania (Jangwani) wataaanza kuja kupiga selfie”———-Waziri wa Fedha na Mipango, Dr. Mwigulu Nchemba
Screenshot_20210820-174440_GBInsta.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom