Heshima yako binamu, Unaendeleaje wewe na familia yako hapo ndugu yangu?
binamu nishakubaliana na hali unanionea bure .....hayanuki ndio ila utafanyaje binamu...binamu umepotea sana, nashukuru ninaendelea vizuri na naamini uko poa wewe na family. Tupo tu hapa na anko wangu ambaye mbali ya kuachika yuko kwenye harakati ya kurudi kule kule kwa zamani, msemo wake eti ya kale hayanuki