Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
MIKONO YA KIHAMU : NDOTO ZA SIMBA KUBEBA UBINGWA WA AFRIKA ZIONEKANE KWA VITENDO
.
"Pesa waliyouza Miquisson au Chama unaweza kuipata ukiingia makundi CAF, ukafuzu robo fainali mpaka nusu! Unaweza kuwa nayo, kwanini usilinde project?
.
"Leo hii Simba haanzi hatua za awali ni kutokana na ubora uliotokana na Wachezaji, ameokoa gharama nyingi hapo za tiketi na malazi! Unaona thamani inavyofanya kazi kuliko pesa ya muda mfupi?
.
"Leo hii Wadhamini wanapaswa kwenda kuweka pesa nyingi kutokana na ukubwa wa Simba uliotokana na ubora wa wachezaji, hatuoni kuna pesa kubwa inapatikana nyuma ya kulinda hii project?
.
"Dewji aliwahi kusema anahitaji Simba wabebe ubingwa Afrika, ila huo ni mchakato! Mchakato wa kufika robo mara nyingi, nusu kisha fainali sio muda mfupi
.
"Ndoto hizi zinapaswa kuonekana kwa vitendo, ikiwemo kulinda project kwa gharama kubwa! Uza wasio na umuhimu kisha ongeza saini muhimu, kikosi kiwe imara kama unaitaka Afrika
.
"Kuuza Wachezaji ni pesa ya muda mfupi, ni njia fupi ya kupata pesa ambayo mtakula kwa uchungu mkubwa! Binafsi nilidhani Simba walipaswa kulinda project yao ina thamani kuliko pesa
.
[@jr_farhanjr ]