Makapuku Forum

Makapuku Forum

Duma ndiye mnyama mwenye kasi zaidi nchi kavu, ana uwezo wa kukimbia mpaka kilomita 80-130 kwa saa. Mnyama huyu huwinda zaidi wakati wa mchana.

Mara nyingi duma utawakuta kwenye kikundi cha mama na watoto, au ndugu vijana ambao ni dume (coalition) wanaoishi na kuwinda pamoja. Jike huwa anakuwa peke yake (solitary) isipokuwa kwa wakati sahihi wa kuzaliana.

Kuna njia kadhaa ya kumtofautisha duma na chui,ila kubwa ni alama nyeusi kama chozi alizonazo duma usoni,mwili,aina ya kucha na madoa. Wanyama hawa unaweza kuwaona Hifadhi nyingi ikiwemo Serengeti, Tarangire, Nyerere na nyinginezo
Screenshot_20210805-052806_GBInsta.jpg
 
“Wabunge wanakatwa kodi ya ajira (PAYE) kwenye mishahara yao kila mwezi na kuwasilishwa Mamlaka ya Mapato Tanzania kwa mujibu wa sheria kama ilivyo waajiriwa wengine wote wanaopata mishahara. “ Mkurugenzi wa Elimu ya Mlipakodi na Mawasiliano, Richard Kayombo
View attachment 1880408
Kwenye mshahara sio ishu

Ishu ni Kwenye matumizi yao
 
Milioni 950 Mshahara wa Konde Boy huko Al Ahly
.
Mwandishi kutoka Maputo, Msumbiji ameripoti kuwa Luis Jose Miquissone amekula maisha nchini Misri.
.
Staa huyo mkubwa kwenye soka la Bongo ambaye ameonekana nyumbani Maputo juzi, ameuzwa na Simba kwenda Al Ahly ya Misri kwa dola 900,000 (Sh 2 Bilioni).
.
Habari za uhakika mchezaji huyo ni kwamba atalipwa mshahara wa Dola 408,000 kwa mwaka sawa na Sh milioni 950 (Mili 79 kwa mwezi) hii pia ni rekodi ya kujivunia kwa Simba.
.
Inadaiwa kuwa mataikuni wa klabu ya Ahly wamekuwa wakinunua wachezaji ghali ndani na nje ya Afrika wakilenga kutwaa Klabu Bingwa ya Dunia.
Screenshot_20210805-081311_GBInsta.jpg
 
Kisa ndoa, Makambo huyo arejea Congo
.
Siku chache baada ya kusaini mkataba ya kazi ndani ya Yanga, staa mpya wa DR Congo, Heritier Makambo jana usiku aliondoka nchini kurudi kwao kujiweka sawa tayari kwa kazi.
.
Makambo alitua nchini hivi karibuni bila begi lolote ili kuja kukamilisha dili lake, lakini jana viongozi wa Yanga walieleza anakwenda kuoa fasta na Kocha Nabi Mohammed amempa siku tano tu awe amerejea Dar tayari kwa mazoezi ya msimu mpya.
.
Awali inadaiwa kwamba mchezaji huyo aliomba kupewa wiki mbili za mapumziko lakini Nabi akamkatalia na kumsisitiza kwamba anawataka arudi haraka na wakakubaliana kila kitu akasepa zake.
.
Screenshot_20210805-082203_GBInsta.jpg
 
GREALISH NI SUALA LA MUDA TU ETIHAD
.
Staa Jack Grealish yupo kwenye hatua za mwisho kabisa za kukamilisha uhamisho wake wa rekodi kwenye Ligi Kuu England kwa kujiunga na Manchester City kwa ada ya Pauni milioni 100 (Sh 323 Bilioni)
.
Na kila kitu kinaonekana kuwa kwenye hali nzuri ambapo kwa taarifa za mtaalamu Fabrizio, Grealish atafanyiwa vipimo vya Afya hii leo Alhamisi.
.
Grealish anaenda kuvunja rekodi ya Paul Pogba ya kuwa mchezaji ghali zaidi kwenye Ligi Kuu England, wakati aliponaswa kwa Pauni milioni 89 na Manchester United kutoka Juventus mwaka 2016.
.
Screenshot_20210805-082952_GBInsta.jpg
 
Manji kasepa!
.
Huenda mashabiki wa Yanga wakawashtuka kidogo!.Hii ni kwa sababu, bilionea na mwenyekiti wao wa zamani, Yusuf Manji ambaye hivi karibuni aliwapa raha kwa kutua nchini na kutimba kwenye mkutano mkuu wa wanachama wa kupitisha rasimu ya katiba mpya, amedaiwa kutimka zake kurudi ughaibuni.
.
Manji amerejea ughaibuni baada ya kukaa nchini kwa takribani mwezi mmoja huku akikumbana na misukosuko baada ya kukamatwa na kuhojiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) na kisha kuachiwa kwa dhamana.
Screenshot_20210805-083539_GBInsta.jpg
 
Kisa ndoa, Makambo huyo arejea Congo
.
Siku chache baada ya kusaini mkataba ya kazi ndani ya Yanga, staa mpya wa DR Congo, Heritier Makambo jana usiku aliondoka nchini kurudi kwao kujiweka sawa tayari kwa kazi.
.
Makambo alitua nchini hivi karibuni bila begi lolote ili kuja kukamilisha dili lake, lakini jana viongozi wa Yanga walieleza anakwenda kuoa fasta na Kocha Nabi Mohammed amempa siku tano tu awe amerejea Dar tayari kwa mazoezi ya msimu mpya.
.
Awali inadaiwa kwamba mchezaji huyo aliomba kupewa wiki mbili za mapumziko lakini Nabi akamkatalia na kumsisitiza kwamba anawataka arudi haraka na wakakubaliana kila kitu akasepa zake.
.
View attachment 1880464
Kitumbua kina umuhimu wake
 
Kwenye ubora wako we mzee na hapo kati
Shunie ina maana wewe hupendi kupashughulisha hapo kati mzee mwenzangu?

Mimi niwe mkweli, pamoja na kuzeeka kwangu lakini kati muhimu sana hata pawe panaguswa guswa mipapaso tu Kuna Raha yake, tena ukute ngozi nyororo laini mikono imeumbika kama ya chibonge mwepesi cheusi mangala mtoto mlito a.k.a shangazi Shunie Shunie awwwwwww Mimi ni nani hata nisipagawishwe akii!!???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom