Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,869
Hennock Inonga Varane
Simba
.
Kwa lugha za kwenye vibanda umiza ni kwamba Yanga wamebipu, Simba wamepiga.
.
Kitendo cha Yanga juzi kutishia kwamba wamemsajili Peter Banda kiliwakera mabosi wa Simba na wakaapa kuwa watapiga kwenye mshono.
.
Sasa usiku wa kuamkia jana wamemshusha nchini beki Mkongoman, Hennock Inonga ‘Varane'ambaye Yanga walishamtumia kila kitu mpaka tiketi, malipo ya cheti cha corona ili aje Dar atue Jangwani.
.
Simba ilikuwa ikiwinda beki mzoefu kwani matarajio yao ni kufanya vyema katika Ligi ya Mabingwa inayoanza mwezi ujao Septemba na hapo imemnasa Inonga ambaye alikuwa nahodha wa DC Motema Pembe na timu ya taifa ya DR Congo kwa wachezaji wa ndani.
.
Simba .

Sajili Ghali zaidi katika historia ya Ligi Kuu England. 