Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
Waziri wa Afya wa Zanzibar Nassor Mazrui amethibitisha kuchanjwa na chanjo aina ya SINOVAC ambayo ni msaada kutokea China na kusema watakaopewa kipaumbele kwenye kupewa chanjo hiyo ni pamoja Wahudumu wa Afya walio mstari wa mbele, Wafanyakazi wa Airport na wanaojishughulisha na Sekta ya Utalii.
"Nimekuja hapa kuchanja na tumepata msaada kutokea Serikali ya China, tumepata Dozi Elfu kumi kwa ajili ya kuchanja Watu Elfu 5 na tunatarajia tena kupokea chanjo Dozi Laki moja hivi karibuni, tutahakikisha Wazanzibar wote watachanjwa kwa anaetaka “———Mazrui