We mzee bwana una kicheko chako flani hiviHahahaha
Hahahaha.. Amazing sioWe mzee bwana una kicheko chako flani hivi

Nimejikuta natamani eti
Hahahha cha ukichochezi nakikutaga kwenye zile thread za jf zile za kuchangamsha jukwaa halafu mwenyewe huwa unasema thread za vile ndio unazipendaHahahaha.. Amazing sio
Umeamkaje mrembo shangazi cheupe motto mlito wa ukweee
Kama na wewe ulitamani kuiona hiyo Night Club iliyotengenezwa ndani ya Treni iliyobeba Mashabiki wa Simba na Yanga kwenda 89.3 Kigoma leo ikitokea 88.5 DSM, picha ndio hizi hapa.
Kwenye picha ya mwisho kabisa wanaonekana Wana wakicheza Playstation 5 ndani ya treni…. Kigoma na Dar ni KM 1444 za barabara kwa mujibu wa google lakini kwa hili bata ndani ya Treni, hakuna ataeboreka.
Mashabiki hawa watarudi Dar na Treni hii siku ya Jumapili, huu ni mchongo ulioandaliwa na CLOUDS MEDIA GROUP kwa kushirikiana na Shirika la Reli Tanzania na hii sio mara ya kwanza kwa CLOUDS kufanikisha bata la kwenye Treni.
Nimejikuta natamanieti
Safi sana hii nakumbuka ile ya kipindi kile clouds walifanya Dar - kisaki Moro
Hahahaha nyuzi za vile napenda kuona watu wakifungukaHahahha cha ukichochezi nakikutaga kwenye zile thread za jf zile za kuchangamsha jukwaa halafu mwenyewe huwa unasema thread za vile ndio unazipenda
Nimeamka poa mimi sijui we mzee huko ulipo
HahhahahaHahahaha nyuzi za vile napenda kuona watu wakifunguka
Mimi Niko poa shangazi
Hahahaha umeona eeh nasubiri na wewr utoe siku ya moyoni ,umsifie yoyote jfHahhahaha
Watu wanavyotoa yao ya moyoni ila ndio raha ya jf
Huwa namsifia tukiwa wawili we mzee siwapi watu wa jf faidaHahahaha umeona eeh nasubiri na wewr utoe siku ya moyoni ,umsifie yoyote jf
Hahahaha safi sana ndo maana nakukubali sana tuHuwa namsifia tukiwa wawili we mzee siwapi watu wa jf faida
We mzee ujue mimi mtu mzima sana siwezi fanya hizo mambo za kusifiana jukwaani ili iweje yaaniHahahaha safi sana ndo maana nakukubali sana tu
Safi sana shangaziWe mzee ujue mimi mtu mzima sana siwezi fanya hizo mambo za kusifiana jukwaani ili iweje yaani