Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
Makampuni mengine sita ya Tanzania yamepata idhini ya kuuza Maharage ya Soya nchini China na hivyo kuifanya idadi ya Makampuni ya Tanzania yanayoruhusiwa kuuza maharage ya soya katika soko la China kufikia 72.
Itakumbukwa Mwezi June mwaka huu Ubalozi wa Tanzania nchini China ulitangaza Makampuni 16 ya Tanzania ambayo yalipewa kibali cha Serikali ya China kuuza maharage ya soya katika Soko la China na ikafanya idadi ya Makampuni ya Tanzania yenye idhini ya kuuza maharage ya soya China kufikia 65. View attachment 1862424