WanyongeTafasiri au maana ya neno "Kapuku" ni ipi?
Tafuta msamiati au neno lingine kuwakilisha hili chama.
Ngoja nikapige supu hukoWaumini wa dini ya kiislamu wilayani Siha Mkoani Kilimanjaro leo Jumanne Julai 20, 2021 wakiwa kwenye swala ya Eid El hajj katika Uwanja wa CCM Sanya juu. View attachment 1860855
Kwani upo kilimanjaroNgoja nikapige supu huko
Yah yahKwani upo kilimanjaro
Ooh sawaYah yah
HahahhahaNikiona sms yako nakuwa mzima wa afya halafu nachangamka vilivyo
Mzima mimi hofu kwako Shunie Shunie shangazi, chibonge mwepesi wa uongo uongo, cheusi mangala wa uongo uongo, mtoto mlitooooo!
Hahahhaha
Wa ukwel ukweli bwana kibonge mwenye manyama yangu
Endelea kuchangamka we mzee maisha ndio hayahaya












Wewe jeOoh sawa
Nipo mbagala mkuuWewe je