Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
UNAAMBIWA:
Mwaka 2013 Ombaomba aitwae Billy Ray Harris alirejesha pete yenye thamani ya USD 4000 (Tsh. Milioni 9.2) Kwa Mwanamke Sarah Darling ambaye aliiangusha mtaani kwa bahati mbaya.
Ili kulipa fadhila Sarah alianzisha harambee ya kumchangia kupitia fundraising page, alikusanya USD 180,000 (Tsh. Milioni 417.4) ambayo imemuwezesha Billy kupata nyumba yake, gari na baadaye ajira.
View attachment 1846972