Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nichezeshe kidaruso usiku wa manane (vanga)...
Nikande kipanda uso tufunikane (kanga)...
Nipitishe boda la uko tutakutane (Tanga)...

Sie pini wao puto wasijichanganye watapasuka...
 
Fid Q...

Hawamaanishi wanachosema ila huongea ya maana...
Maandishi nayo yatema yakipotea ujue una laana...
Wana drama ukikwama lawama za bwana akikukana ni uhasama unanichanganya...
 
Fid Q...

Ukienda kasi utaona love iko fasta kiasi kwamba your first lover hawez kuwa your last...
Unamuona mlupo kisa ulimgonga kwa mshiko anakuomba nadusko anaoga batonga anagonga vitu...
 
Fid Q...

Mapenzi ya kweli ni kama jini Wachache ndo wameona muache anaokuona unanini...
Kusoma ujanja kama wanadada wa vyuoni kusoma mchana wanafanya uchangudoa jioni kisha wana-act kama virgin in the morning...
 
Fid Q...


Ili picha uipate ficha flash wasiione...
Wengi hawa graduate na A wana graduate na Aids when graduate utawajuaje kwamba wanahitaji confess ilimladi wasexy na washikaji wasi wacheke waki-test blood wanawapa...
 
Fid Q...

stresser uponyaji ni hadi aki-bless God...
Uliemchekesha unamliza na anajuta umemfirisii zaid ya gear reverse inavomaliza mafuta...
Wazamani nishamuacha na Mpya niliyempata yupo kwetu...
 
Fid Q...


Mnachana mnachoma picha mna-change namba za phone Inakuumiza kichwa mapenzi yapo moyoni...
Muda unapita unamuenzi hadi ndotoni unagundua yule mshenzi hakupendi lakini hamkomi...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom