Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
Hausukumi damu moyo unasukuma upendo wangu niko mahabani mambo sawa Sawaa...
Mi ni zawadi nilopewa...
Macho nipepese wapi...
Mi kipofu kwako sioni...
Penzi limetaratadi, napepewa...
Harufu ya marashirashi...
Nikitouch touch shingoni...
Uvae baibui khanga...
Viatu vya kuchuchumia kangaroo...
Kisima tui tanga...
We huba nifukizia pambe tu...
Ukizungushia shanga...
Inashuka inapanda chini juu...
Nishatafuna karanga...
Sasa chumba ndo kiwanda watoto tu iyee iyee....







hata kujizawadia mwenyewe