Mahakama inayotajwa kuwa ya juu zaidi Nchini Afrika Kusini imekubali kusikiliza ombi la kukata rufaa lililotolewa la kuifuta hukumu ya miezi 15 jela iliyotolewa kwa Rais wa zamani wa Nchi hiyo Jacob Zuma.
Hii ni baada ya Mahakama kumuhukumu miezi 15 jela wiki hii kwa kosa la kudharau na kupuuza amri ya Mahakama ya kumtaka kufika mbele ya Tume maalumu inayochunguza madai mbalimbali ya rushwa dhidi yake wakati alipokua madarakani 2009-2018.
Mitandao ya Afrika Kusini leo imeripoti kwamba Mahakama kuu ya Nchi hiyo imekubali ombi la Jacob Zuma kukata rufaa kupinga hukumu hiyo ya miezi 15……….. Zuma alikua Rais kwa miaka 9 lakini alijiuzulu Urais February 2018 kutokana na kushutumiwa kwa ufisadi, uchumi na umaarufu wa Nchi kushuka.
Zuma alijiuzulu kufuatia shinikizo kubwa lililotolewa na Chama chake cha ANC kilichotishia kumuondoa kwa kura ya Bunge ya kutokuwa na imani nae iwapo hatojiuzulu.
Ripoti ya dw swahili February 2018 ilisema Zuma pia alikua na mvutano wa kimadaraka na Mfanyabiashara Bilionea wa zamani ambae alikua Makamu wa Rais wakati huo Cyril Ramaphosa ambae sasa ndiye Rais wa South Africa.
Haikuishia kukutana na Busta Rhymes peke yake au kuishia kuongea na Swae Lee peke yake, Staa wa Bongofleva Diamond Platnumz hajarudi bongo toka alipokwenda kuhudhuria tuzo za BET 2021 Los Angeles Marekani, amebaki Nchini humo kwa ajili ya kuandaa album yake mpya na tayari tumemuona Studio na Wakali kama Busta Rhymes, Producer Swizz Beats na O.T Genasis
Leo ni zamu ya Cameron Jibril Thomaz a.k.a WizKhalifa, Mkali anaemiliki migoma kibao mikubwa ya dunia ikiwemo sound track ya movie ya Fast & Furious smash hit ya 'see you again" yenye views Bilioni 5.1 na comments milioni mbili na laki moja ft. Charlie Puth.
Hii haitokuwa mara ya kwanza kwa Diamond Platnumz kufanya kolabo na Wakali wa Marekani kwani alishawahi kuingia studio na Ne-yo na kuachia 'marry you' February 2017 ambayo ina views milioni 51 Youtube lakini mwaka huohuo December akaketi na Rick Ross na kuachia 'waka' yenye views milioni kumi na mbili kisha mwaka 2018 akamvuta Omarion wakaachia 'African Beauty' yenye views milioni 61 hadi sasa.
Hili tatizo limeshakuwa sugu kwangu nahisi nazeeka nalo mkono wangu wa kulia nauonea huruma sana nikianza kung'ata mpaka nihakikishe napata maumivu ndio naacha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.