naomba nikuambie nakupenda shangaziUnapopata nafasi ya kumwambia mtu unampenda mwambie tu na mzidi kupendana [emoji7]
Hahahha we mzee bwana asante sana jamaninaomba nikuambie nakupenda shangazi
Safi sanaUkinipenda nitakupenda sana yaani sana tu [emoji847][emoji847][emoji847]
Mrembo km. Wwe nani anaweza kukuchukiaIla ukinichukia nisijue jamani nikijua unanichukia nitakuchukia mara 10 yako unavyonichukia hivyo yaani. [emoji848]
HaswaaaNinapopata nafasi ya kuenjoy haya maisha acha nienjoy tu unaambiwa raha jipe mwenyewe usingoje kupewa
We mzee hujawahi ona mtu anachukiwa tu bila sababu yeyoteMrembo km. Wwe nani anaweza kukuchukia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haswaaa
Hao wanaochukia wenzao bila sababu ni wachawiWe mzee hujawahi ona mtu anachukiwa tu bila sababu yeyote