Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
Maisha ndio hayahaya acha nijiachie tuNakuona ulivyojiachia...
Maisha ndio hayahaya acha nijiachie tuNakuona ulivyojiachia...
Sana vinaelegea kama umekula kungu...Hahahha hivi huwa vinalegea kumbe
Eenh kumbe ndio yanavyokuwaSana vinaelegea kama umekula kungu...
Hapo bado hujapata chupa ya kijani... ukipata sasa ndiyo dahEenh kumbe ndio yanavyokuwa
Weee ndiyo mchizi wangu...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na wewe ndio mchizi wangu mimi apa [emoji6]Weee ndiyo mchizi wangu...
Hahaha unavyonijaza sasaHapo bado hujapata chupa ya kijani... ukipata sasa ndiyo dah
Ila wewe katoto kazuri sana...Hahaha unavyonijaza sasa
Ila punguza ukorofi kidogo... hahahahaNa wewe ndio mchizi wangu mimi apa [emoji6]
Dah [emoji2356]hapo pa kupunguza ukorofi sijui kama nitaweza huwa najitahidi niweze ila nashindwa mwenyewe huwa sipendi ila sina jinsiIla punguza ukorofi kidogo... hahahaha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila wewe katoto kazuri sana...
Na vikesi vyako vidogo vidogo...Dah [emoji2356]hapo pa kupunguza ukorofi sijui kama nitaweza huwa najitahidi niweze ila nashindwa mwenyewe huwa sipendi ila sina jinsi