Makapuku Forum

Makapuku Forum

N
Mkuu mpya wa Wilaya ya Songwe ameanza kazi ikiwa ni siku chache tu toka ateuliwe na Rais Samia Suluhu ambapo moja ya alivyokutana navyo ni Hospital ya wilaya Songwe mkoani Songwe kutotoa huduma siku za jumamosi na jumapili kutokana na uhaba wa Watumishi wa afya.

DC Simalenga ametembelea hospital hiyo na kuagiza huduma zirejee maramoja na Wananchi wahudumiwe saa 24 siku 7 za wiki wakati upungufu huo wa Wafanyakazi ukifanyiwa kazi.

Taarifa imeeleza kwamba mahitaji ya Watumishi katika hospital hiyo ni 250 lakini waliopo sasa ni Watumishi 11 tu. View attachment 1829531View attachment 1829532
Na Nazi iendelee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom