Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Samia Hassan aongoza kikao cha Kamati Kuu ya H/Kuu ya Taifa kilichoketi leo Jumanne Juni 22, 2021 katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre, Jijini Dodoma.
20210622_182525.jpg
 
leo katika historia

Miaka 264 iliyopita na katika siku muwafaka na leo, vilijiri vita vya kwanza kati ya vikosi vya Uingereza na India huko katika eneo la Bengali kaskazini mashariki mwa India. Waingereza walishinda vita hivyo na kulidhibiti eneo hilo ambalo katika zama hizo lilikuwa sehemu ya ardhi ya India. Waingereza ambao walianza kuingia nchini India miaka kadhaa nyuma kupitia East Indian Company, mbali na kuyarejesha nyuma majeshi ya India, katika vita vilivyofuata ilimshinda pia hasimu wake mkubwa Ufaransa na kufanikiwa kuyatoa kabisa majeshi hayo katika ardhi ya India.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom