Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
PAPA MSOFE AFUTIWA MASHTAKA
-
DPP asema hana mpango wa kuendelea na kesi dhidi yake na wenzake
-
Walikuwa wakikabiliwa na mashtaka matano likiwemo la kujipatia fedha kiasi cha Sh943 milioni kwa njia ya udanganyifu
-
Mbali na Msofe, washtakiwa wengine walikuwa wakili wa kujitegemea, Mwesigwa Mhingo, Wenceslau Mtui, Josephine Haule na Fadhil Mganga
-
Miongoni mwa mashtaka yaliyokuwa yakiwakabili ni kuratibu genge la uhalifu, utakatishaji fedha na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu