Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,077
- 464,004
Meya wa Manispaa ya Temeke Abdalla Mtinika amemtangaza Mchekeshaji wa Kenya Eric Omondi kuwa Balozi wa kuitangaza Temeke Mkoani Dar es salaam, haya yanajiri kuelekea Tamasha la Comedy ambalo limeandaliwa na Omondi kwenye Uwanja wa Uhuru, Temeke June 17, 2021.
“Nimepewa jukumu kubwa sana maishani la kuwa Balozi wa Temeke, nitayatekeleza majukumu haya kwa umakini sana” ———Omondi
“Nimepewa jukumu kubwa sana maishani la kuwa Balozi wa Temeke, nitayatekeleza majukumu haya kwa umakini sana” ———Omondi