Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Baraka zimeongeka kwa Mwanamfalme Harry Mtawala wa Sussex na mke wake Mergan baada ya kupata mtoto wao wa pili.
Harry na Meghan wamesema wamempatia mtoto jina la Lilibet ambalo ni jina la utani la Familia ya Kifalme kwa Malkia. Jina lake la kati, Diana, lilichaguliwa kumuenzi "bibi yake mpendwa", Malkia wa Wales.
Lilibet "Lili" Diana Mountbatten-Windsor alizaliwa Ijumaa asubuhi katika hospitali ya Santa Barbara, California.
Kasri ya Buckingham Palace imesema: "Malkia, Manamfalme wa Wales na Duchess wa Cornwall, na mtawala wa Cambridge na mkewe wamefahamishwa na wamefurahishwa na taarifa hizo."

mtoto mlito