Makapuku Forum

Makapuku Forum

Rais Samia Suluhu leo ameagana na aliyekuwa Balozi wa China hapa nchini Wang Ke ambaye amemaliza kipindi chake.

Katika mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma, Rais Samia amemshukuru Wang Ke kwa jitihada zake za kuendeleza na kukuza uhusiano wa Tanzania na China ambao umewezesha kutekelezwa kwa miradi mbalimbali iliyofadhiliwa na China ikiwemo Maktaba ya UDSM, Jengo la Wizara ya Mambo ya Nje na msaada wa Bilioni 35 zinazoelekezwa katika miradi ya Maendeleo, swipe kusoma habari yote.
20210604_193309.jpg
 
Prophet Adonis anadai kuwa Mwaka 1996 alitokewa na Malaika mwenye makalio makubwa na kumsihi kuanzisha dini kwaajili ya wanawake wenye makalio makubwa na kuwaandikia kitabu chao kitakatifu ambacho kinaitwa "The book of Adonai". Pia alianzisha mtindo (style) maalumu ya kucheza kwaajili ya kumsifu Mungu katika kanisa hilo.
20210605_095415.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom