Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 167,059
- 185,349
Ndiyo wewe hapo pisi kali...Mimi huyu jamani![]()
Ndiyo wewe hapo pisi kali...Mimi huyu jamani![]()
Umeanza mambo yakoNdiyo wewe hapo pisi kali...
Maliza basi kama nimeanza...Umeanza mambo yako
Naanzaje sasa kumaliza acha niwe mpole tuMaliza basi kama nimeanza...
Sawa cha upole... cheupe dawa...Naanzaje sasa kumaliza acha niwe mpole tu
Hahhaha una nini lakiniSawa cha upole... cheupe dawa...
Nina nanilii...Hahhaha una nini lakini
Nini hiyo etiNina nanilii...
Jua tu nina nanilii...Nini hiyo eti
Sababu ushajua nachomaanisha...hata sijui nacheka nini
Si lazima tuelewane, tukielewana Forum haitakuwa na tija.Sio lazima tufahamiane, tukielewana inatosha sana
........................
Hahhaha kipi hiko unachomaanisha etiSababu ushajua nachomaanisha...
In public hakielezeki...Hahhaha kipi hiko unachomaanisha eti
Hahhaha hutaki kuwapa watu faidaIn public hakielezeki...
Faida nataka tupeane wenyewe... Me and You...Hahhaha hutaki kuwapa watu faida