Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,372
- 12,479
Sanaa, wengine huvaa pants za chuma na funguo huacha nyumbani mpaka watakaporudi ili kulinda uaminifuInaonekana kuacha sigara ni ngumu sana eenh
Sanaa, wengine huvaa pants za chuma na funguo huacha nyumbani mpaka watakaporudi ili kulinda uaminifuInaonekana kuacha sigara ni ngumu sana eenh
Asiposoma hii post utanimbia nije mimi😁Mwaka 1977, Pradyumna Kumar Mahanandia, msanii wa India, aliendesha baiskeli kwa miezi minne na wiki tatu kutoka New Delhi hadi Gothenburg huko Sweden ili kwenda kukutana na mpenzi wake Charlotte Von Schedvin.
Alienda kwa baiskeli kwasababu hakuwa na pesa za kutosha kununua tiketi ya ndege. Baadae Walioana na sasa wana watoto wawili.
[emoji1787][emoji1787] babe wangu fanya na hii mvua basi ukuje umeona mapenzi hayo View attachment 1767728
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una nini tetraAsiposoma hii post utanimbia nije mimi[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]ilo boga mi naenda nalo kwa mtaalamu,,watakubali tuUnanyimwa mke unapewa boga [emoji23][emoji23]View attachment 1767711
Hahahahah[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]ilo boga mi naenda nalo kwa mtaalamu,,watakubali tu
Hahaha... Wazazi wakikataa hata boga nitapokea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una nini tetra
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jinga sanaHahaha... Wazazi wakikataa hata boga nitapokea
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] ...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jinga sana
Naomba unisindikize kwenye huo mgahawa...The Bunyadi ni mgahawa wa chakula uliokuwepo huko London Uingereza, ulianzishwa mwaka 2016. Baada ya miezi miwili tu ukafungwa kutokana na kuzidiwa na wateja, watu walikuwa ni wengi sana. Banyadi ni neno la kihindi lenye maana ya asili.
Kila mteja anaeingia kwenye mgahawa huu anatakiwa kuwa uchi wa mnyama kama alivyozaliwa. Ukiwa ndani ya mgahawa huu ni marufuku kuwa na simu na pia ni marufuku kupiga picha.
Mmiliki wa mgahawa huu Sebastian Lyall alisema kuwa siku chache baada ya kuufungua mgahawa huu zaidi ya watu 25,000 walikuwa wamesha weka oda ya kula hapo, na baada ya kufungwa kulikua na oda za watu 46,000 zimebaki kupata chakula hapo, taarifa zinasema kwamba walifunga ili kutanua zaidi mgahawa huo kwakua ulionekana kuzidiwa na idadi ya watu.
Mteja akishafika mgahawani hapo anaelekezwa na walinzi katika chumba maalumu ambako anaenda kuvua nguo zake alafu anarudi kuagiza chakula. Bei ya chakula ilikuwa inafika hadi Tsh 200,000=.View attachment 1767740
[emoji1787][emoji1787]Naomba unisindikize kwenye huo mgahawa...