Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mlipuko huu ulisababisha vifo vya watu zaidi ya 36400.
20210429_162654.jpg
 
Mwaka 1994 Mwalimu Nyerere akiwa kwao Butiama alifatwa na Mawaziri kadhaa ambao walienda kumsema kuwa anaishushia hadhi CCM kwasababu anawasiliana sana na watu wa vyama pinzani.

Nyerere aliwauliza kwanini wanamuita baba wa taifa? na Je yeye ni baba wa taifa wa wanaccm pekee? kisha akaingia ndani, akachukua kadi yake ya chama na kutaka kuirudisha ili asiwe mwanachama wa CCM.

Baada ya kuona hivyo Mawaziri wale wakamuomba sana asirudishe kadi hiyo
20210429_162746.jpg
 
Mwaka 1828, Sarah Goodridge ambaye alikua mchoraji, alichora picha ya matiti yake akampa Seneta wa Marekani Daniel Webster ili kumshawishi amuoe.

Kwa kipindi hicho Daniel Webster alikua anatarajiwa kutaka kuoa baada ya kufiwa na mke wake.

Licha ya juhudi za Sarah lakini Daniel Webster alioa mwanamke mwingine.

Familia yake iliitunza picha hio kwa zaidi ya miaka 50 ndipo miaka ya 1980's waliamua kuiuza na kuwekwa kwenye jumba la makumbusho.
20210429_162850.jpg
 
Mwaka 1915, mwanamke mmoja alichelewa kwenye mazishi ya dada yake aliyeitwa Essie Dunbar aliyekufa akiwa na miaka 30.

Alipofika, aliomba jeneza la dada yake lifunguliwe ili aweze kumuona kwa mara ya mwisho.

Baada ya kufungua jeneza, yule mwanamke aliyekufa (Essie) alinyanyuka na kutabasamu. Aliishi kwa miaka mingine 47 ndipo akafa.
20210429_163107.jpg
 
Wakati mbio zikiwa zinaendelea Frank alipata mshtuko mbaya wa moyo, lakini kwa namna fulani farasi aliendelea kwenda, na mwili wake uliweza kukaa juu ya farasi hadi alipovuka mstari wa kumaliza.

Baada ya kuvuka mstari wa kumaliza mbio akiwa wa kwanza ndipo aligundulika kuwa alishafariki dakika chache zilizopita.
20210429_163249.jpg
 
Kama unaona unachelewa sana kusubiri hadi ufikishe miaka 18 ndo uruhusiwe kunywa pombe kisheria Tanzania, basi wewe usingeweza kuishi Aztec.

Karne ya 13 katika bara la Amerika ya kaskazini kulikua na Himaya/Ufalme ulioitwa Aztec (Aztec empire).

Katika Ufalme huo umri wa mtu aliyekua anaruhusiwa kunywa pombe ni kuanzia miaka 70 na kundelea tu. Miaka 69 kushuka chini walikua hawaruhusiwi kunywa pombe.
20210429_163442.jpg
 
Endapo utasahau siku ya kuzaliwa ya mke wako, kisheria mkeo anaruhusiwa kukuvungia (kukununia) na kukunyima baadhi ya huduma za kindoa.

Haijulikani hukumu yako itakuwa ya muda gani, lakini labda kama utaweza kutumia ujanja wako kumshawishi mkayamaliza hakuna ubaya.
20210429_163608.jpg
 
Mwaka 1996, Jim Kardach alipendekeza jina Bluetooth litumike kama jina la teknolojia iliyoundwa ili kusaidia uhusiano na ushirikiano wa kuunganisha na kubadilishana data kutoka katika vifaa viwili (Two devices).

Kardach alinukuliwa akisema, "Mfalme Harald Bluetooth ... alikuwa maarufu kwa kuunganisha Scandinavia kama vile tulivyokusudia kuunganisha vifaa bila kutumia waya."

Jina Bluetooth lilianzia zaidi ya miaka 1000 iliyopita (millennium) kwa Mfalme Harald "Bluetooth" Gormsson ambaye alikuwa anajulikana sana kwa vitu viwili:

Kitu cha kwanza ni Kuunganisha Denmark na Norway mnamo mwaka 958.

Pili ni jino lake lililokufa, ambalo lilikuwa na rangi ya bluu na likampatia jina la utani Bluetooth.
20210429_163653.jpg
 
Sababu inayoelezwa ni kwamba nyuki wanachangia kwa kiasi kikubwa katika uchavushwaji wa mimea ambayo baada ya uchavushwaji hutoa chakula kwa binadamu, hivyo kama nyuki watatoweka basi mimea mingi haitoweza kuzaa na binadamu watakosa chakula ndio sababu ya kufa.
20210429_163907.jpg
 
Katika karne ya 13 Papa Gregory IV alitangaza vita dhidi ya paka.

Alisema kuwa paka weusi ni vyombo vya Shetani. Kwasababu ya imani hii, aliamuru Ulaya kote paka kuawa.

Baada ya muda mpango huu ulisitishwa kwasababu kulitokea uhaba wa paka, uhaba ambao uliruhusu idadi ya panya kuongezeka na kusababisha kuenea kwa ugonjwa wa bubonic.
20210429_164144.jpg
 
Hii ilitokea mwaka 1996 huko Hong Kong, Jambazi mmoja aliyeitwa #Cheung Tze Keung alimteka nyara mtoto wa tajiri mkubwa wa Asia #Li Ka-shing na kumtapeli tajiri huyo Dola za kimarekani milioni 130 kama fidia ya kumuachia mwanae, baadaye Jambazi huyo alimpigia simu tajiri #Li Ka-shing na kumuomba ushauri wa jinsi ya kuwekeza pesa hizo.
20210429_164444.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom