Woooiiiiiiii
Utajiri wa masharti...
Utajiri wa masharti...
Kuhalalisha utasikia katika tafiti zimegundua huo ni ugonjwa fulani...

Ndio mtafute mende sasa hahhahaMmmmh
Duh! Si mchezo
🤣🤣🤣 ndio maana meno yangu yameoza!
Aiseee pesa hizi!!Ilikuwa hivii.. Walipofika hawakumkuta mtu waliyemtarajia ambaye alikua anaitwa Sogen Kato, baada ya kuwahoji Wanafamilia na kuwalazimisha kufungua vyumba vingine ili kuhakikisha kama kweli hayupo, Mjukuu wake wa kike alieleza kwamba Mzee Kato ametoa maagizo kwamba hataki kuonana na mtu yeyote.
Ndipo baadae maofisa wakaingia kwa nguvu na kukutana na mabaki ya mwili ya Mzee Kato yaliyovalishwa nguo na kufunikwa na shuka.View attachment 1766623
Tuone yalivyondio maana meno yangu yameoza!
😁😁😁 hahaha.. Ann bwana picha sio?Tuone yalivyo
Ndiyo wizohahaha.. Ann bwana picha sio?
