Makapuku Forum

Makapuku Forum

20210428_170040.jpg
 
Ilikuwa hivii.. Walipofika hawakumkuta mtu waliyemtarajia ambaye alikua anaitwa Sogen Kato, baada ya kuwahoji Wanafamilia na kuwalazimisha kufungua vyumba vingine ili kuhakikisha kama kweli hayupo, Mjukuu wake wa kike alieleza kwamba Mzee Kato ametoa maagizo kwamba hataki kuonana na mtu yeyote.

Ndipo baadae maofisa wakaingia kwa nguvu na kukutana na mabaki ya mwili ya Mzee Kato yaliyovalishwa nguo na kufunikwa na shuka.
20210428_171259.jpg
 
Katika mradi huo uliopewa jina la THAT FACE ilikuwa kama una sura nzuri yenye mvuto unaenda unaingia makubaliano na kampuni hiyo ndipo unalipwa pesa yako.

Pia ikiwa kama kinyago chako kitathibitika kupendwa na wateja wengi basi utaitwa na kupewa pesa mara mbili zaidi.
20210428_171905.jpg
 
Hufanya hivi kama njia ya kumkumbuka mwanzilishi wa Sufi, Moinuddin Chishti na pia kuonyesha uadilifu na kujitolea kwa imani yao.

NYONGEZA: Imani hii ya Sufi imekua ikipingwa vikali na waumini wa kiislamu (pure Muslims) kwa kusema kuwa hao sio waislamu na wala kwenye uislamu hakuna imani ya hivyo ila wao wenyewe wamekuwa wakijichukulia kama waislam wenye imani kali io ya Sufism.
20210428_172018.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom