Makapuku Forum

Makapuku Forum

"Wizara kupitia Ofisi ya Taifa ya Mashtaka imeendelea kutekeleza zoezi la makubaliano ya kumaliza kesi za jinai chini ya utaratibu wa washitakiwa kukiri makosa yao kwa mujibu wa sheria ya marekebisho ya sheria mbalimbali Na. 11 ya Mwaka 2019”———Waziri wa Katiba na Sheria, Palamagamba Kabudi Bungeni leo

“Katika kipindi cha Julai 2020 hadi Machi 2021, jumla ya kesi 192 zilihitimishwa kwa njia hiyo na jumla ya washitakiwa 243 walikiri makosa na kulipa Serikalini kiasi cha Tsh. Bilioni 35 (Tsh. 35,073,204,715.97) kama fidia kwa Serikali pamoja na faini kutokana na makosa ya uhujumu uchumi”———Waziri Kabudi

“Zoezi hili ni endelevu na fedha hizi zimewekwa katika akaunti maalum iliyoko Benki Kuu ya Tanzania"———Kabudi
20210428_164129.jpg
 
20210428_164256.jpg
 
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Innocent Bashungwa na Katibu Mkuu wake Dkt. Hassan Abbasi wamekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba kuhusu namna ambavyo Michezo ya Bahati Nasibu (Sport Betting National Lottery) inavyoweza kuchangia maendeleo ya michezo na uchumi wa Nchi kwa ujumla.

Hatua hii ni mkakati mahususi wa kutekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano Samia Suluhu Hassan la kutaka kuzalisha ajira kwa Vijana kupitia Michezo na Sanaa kwa kuwa ni miongoni mwa sekta zinazo toa ajira kwa Vijana wengi Tanzania.

Kikao hicho kimefanyika jana Aprili 27, 2021 katika Ukumbi wa Kambarage, Hazina jijini Dodoma.
20210428_164508.jpg
20210428_164549.jpg
 
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Innocent Bashungwa na Katibu Mkuu wake Dkt. Hassan Abbasi wamekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba kuhusu namna ambavyo Michezo ya Bahati Nasibu (Sport Betting National Lottery) inavyoweza kuchangia maendeleo ya michezo na uchumi wa Nchi kwa ujumla.

Hatua hii ni mkakati mahususi wa kutekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano Samia Suluhu Hassan la kutaka kuzalisha ajira kwa Vijana kupitia Michezo na Sanaa kwa kuwa ni miongoni mwa sekta zinazo toa ajira kwa Vijana wengi Tanzania.

Kikao hicho kimefanyika jana Aprili 27, 2021 katika Ukumbi wa Kambarage, Hazina jijini Dodoma.View attachment 1766572View attachment 1766573
Hivi wanajua kwamba wananchi tunakula za uso huko kwenye betting
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom