Makapuku Forum

Makapuku Forum

20210425_051641.jpg
20210425_051656.jpg
 
Jpili njema wadau
Lee nakutafuta sana anko wangu, kuna kuzeeka ujue.

Nigendako ujumbe unakuhusu pia.

Oh, niko na mama yenu hapa nataka kula daku, wakubwa tunaelewana, wasioelewa endeleeni kudemka na kidumbaki
anko, binamu , ndugu natambua uwepo wako popote ulipo najua majukumu ya yanatufanya tupigane chenga ila salaam nazipokeaga ata kama hupendi nizipokee
 
Sitaki kuamini kama unafunga maka
Amin shunie akee nimefunga, nimefunga mlango, kamaba za viatu, vishikizo.. Koo, macho, masikio mpaka zipu, tena zipu naifungua wakat wa kukojoa tu..

Na koo nalifungua jionii wakati wa kufuturu..

Lakini shunie, tako si sehemu ya mwili tu kama mkono jamani!!

Kwahiyo nikisema nguo ya kuazima haistri matako ndio sijafunga
 
Aujafunga bwana ungesema makalio
 
Serikali ya Zanzibar imewataka Wananchi wanaoishi katika majengo ambayo uimara wake hauko vizuri hasa wa maeneo ya Pwani, Mji Mkongwe na wale walio karibu na miti mikubwa kuhama katika majengo hayo na kuhamia majengo yaliyosalama ili kuepuka athari zinazoweza kujitokeza kufuatia wasiwasi wa kimbunga Jobo.

Wananchi wanaokaa maeneo hatarishi yenye kutuama maji kama vile Mtumwajeni, Ziwa Maboga, Jangamizini, Chuini nao wanatakiwa kuchukua tahadhari ili kuepukana na athari zinazoweza kutokea.

Wananchi wametakiwa pia kuchukua tahadhari na kuzuia Watoto kutoshika nyaya za aina yoyote ikitokea nguzo kuanguka au nyaya kuangukiwa na miti, pia Wananchi wanatahadharishwa kutokupita katika madimbwi ya maji yaliyokaribu na nyaya zilizoanguka.
20210425_121600.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom