Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
Naomba location na mimi nikajirushe [emoji847]Na kuna binadamu washaanda usiku wa Jobo ni kwenda kujirusha tuu...
[emoji28][emoji28]
Naomba location na mimi nikajirushe [emoji847]Na kuna binadamu washaanda usiku wa Jobo ni kwenda kujirusha tuu...
[emoji28][emoji28]
Ukajirushe au tukajirushe... 🤗Naomba location na mimi nikajirushe [emoji847]
....nakesha sana tatizo bando, hapa nimetegea WiFi ya mgeni, hajaweka pin 📌 akiamka atashangaa 🙂Binamu obe siku hizi hakeshi kabisa
Hahahah nikajirushe mwenyewe bwana wewe si haiwezekani kwa sasaUkajirushe au tukajirushe... [emoji847]
Hahahha hivi maka anafunga kweli binamu sitaki kuamini.....ushaigawa kumi ya kwanza sasa mdau unakuja kutalii.
Mzima kaka
Hahahhaha nampa mgeni pole....nakesha sana tatizo bando, hapa nimetegea WiFi ya mgeni, hajaweka pin [emoji419] akiamka atashangaa 🙂
Alhamdulillah, namshukuru mungu kaka......ushaigawa kumi ya kwanza sasa mdau unakuja kutalii.
Mzima kaka
Wabongo wanakwambia atafurahi na roho yake.....nakesha sana tatizo bando, hapa nimetegea WiFi ya mgeni, hajaweka pin [emoji419] akiamka atashangaa 🙂
Inasemekana sababu ya ufala una akili nyingi.. [emoji13]
Inasemekana sababu ya ufala una akili nyingi.. [emoji13]
...kaja kunitembelea, mgeni njoo mwenyeji apone, waswahili tuna misemo yetu maridadi sanaWabongo wanakwambia atafurahi na roho yake.
....hapa ni home kabisa, tunasema home ni home hata kama kwa jirani kunafuka uturiAlhamdulillah, namshukuru mungu kaka.
Nimekumbuka nyumbani tu kaka.