Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
Salama sanaaaPoa poa Jimenaaa,
Vipi umeshindaje wewe?
Mambo vipi??
Salama sanaaaPoa poa Jimenaaa,
Vipi umeshindaje wewe?
Kama kawa kama dawaPoa sana.
Naona mnakapukika tu.
![]()
Jionee tofauti
![]()
![]()
..............
Hahahaaa....hapo 5:0![]()
Haahaa,
Huyo wa 2011 wangeweka ameshika KFC au McDonalds.
hii ndio Raha ya JF kudownload picha uamuz wako maana hii picha ndio ingekuwa Wasap memory ingejaa kwa jins hii picha inavyotumwa kila mara
Nipooo
Karibu sana kaka.Haahaa,
nipo likizo kwa muda, mida hii napatikana sana.
Abdallah King Kibaden score hat-trickNipooo
Naitafta OT now, wa mchangani nimewaacha kwanza
Kombe la ligi kuu, walio beba mara nyingi
Yanga fc-26
Chura fc-18
Simba ndo vyura, ina maana mlicheza simba vs simbaAbdallah King Kibaden score hat-trick
Vyura 1 Simba 6
vyura ni nyie wajangwani kwenye mafurikoSimba ndo vyura, ina maana mlicheza simba vs simba
Mdogo mdogo tunaendelea kulisukuma gurudumu.Fresh mkuu.....
Harakat vip
Wazima za kupotea!!?Wazima wote