Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,498
Muzuri Sana shemdarlingNiko biyeee madame. Habari yako vipi?
Muzuri Sana shemdarlingNiko biyeee madame. Habari yako vipi?
Goli za Tambwe na Ngoma msimu huu dhidi ya KIMBA SCAbdallah King Kibaden score hat-trick
Vyura 1 Simba 6
:
KIMBAkwa hyo had lile la familia umelifutaNdo manake
Nimeifuta group zote za whatsapp
![]()
![]()
![]()
...........
Ndala hlo ni jina letu nakubaliInaonesha we mgeni hapo jangwani. Please usije ukalikana na la ndala fc.
Wanajitukana sisi tuwacheke kwa dharauMkuu asante kwa kuja maana walikuwa wanajiponda wenyewe![]()
![]()
![]()

Wii usijali. Ukiwa free utanitumia tu. Kaka hajambo?Mambo my wii
Sorry mpnz nmeshndwa kufanikisha
Nlikuwa tyt kdogo
Duh bado napata mashaka na ushabiki wako.may b umeanza ishabikia juzi.Ndala hlo ni jina letu nakubali
Ila frogg ni la kwenuuu
Karibu tuleHapana!
Mie niko pouwaa kabisa. Vipi kwako?Shukrani, nshakaribia kaka.
Vipi mzima lakini?
hata mimi nawashangaa wanavyojitania wenyewe Vyura wamevurugwa hawajielew
Duh bado napata mashaka na ushabiki wako.may b umeanza ishabikia juzi.
Goli za Tambwe na Ngoma msimu huu dhidi ya KIMBA SC
Ngoma + Tambwe:
KIMBA
.........
Pole sana. Natumai atakuja mda si mrefu.Hapa kwema ila mtu mmoja simuoni na roho inakuwa inaruka kama bisi kikaangini.
Nimebakiza hilo TU.....nimeifuta group 7 hazina la maana mkuukwa hyo had lile la familia umelifuta
Vyura fc ni jina lenu na mliitwa hivyo kutokana na mafuriko yenu ya pale jangwani.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mnajikataaa wenyeweee hahaha



take it or leave it.

![]()
SIMBWA FC
![]()
![]()
![]()
........