PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,105
- 14,356
hapo 5:0[emoji4]Hapo ilikuwa mwaka gani?
hapo 5:0[emoji4]Hapo ilikuwa mwaka gani?
Nzuri shem, mambo niaje?Habar ya jion
Ni poa shemNzuri shem, mambo niaje?
hapo 5:0[emoji4]
haitosaidia kitu, watapigwa tu..[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] labda mnunue mechi
Swadaktaaaa mkuuhaitosaidia kitu, watapigwa tu..
Simba Nguvu Moja
Mkuu leo umetinga mapema, mzima?
hapo 5:0[emoji4]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ana imani atarejeshaManji hataki kuondoka Yanga kwa sababu ya hiyo namba 5
Fresh mkuu.....Iko njema sana kaka. Niaje kwako?
Mkuu ndoto za kihindi ni mbaya sana,..[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ana imani atarejesha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu ndoto za kihindi ni mbaya sana,..
Manji hataki kuondoka Yanga kwa sababu ya hiyo namba 5
Ni nzuri shem. Jioni yako vipi?Ni poa shem
Habar ya wewe??
R.i.p Patrick Mutesa Petii Mafisango...moja kati ya wachezaji bora wa kigeni kuwahi kucheza ligi yetu kando ya Okwi, Niyonzima na Kipre.![]()
Mmekula pesa ya rambirambi....kawaachia laana
R.I.P Papaa
........... .....
hahaha ndio maana najiita Mussolin5 hiyo tano inawakilisha mambo mengi mno mojawapo ni kipigo cha Yanga cha goli 5Manji hataki kuondoka Yanga kwa sababu ya hiyo namba 5