MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,453
- 69,340
Nzuri sijui weweWazima za kupotea!!?
Ina maana unajisahaulisha Kama vyura fc ni nyie wa jangwani pale kwenye mafuriko?Simba ndo vyura, ina maana mlicheza simba vs simba
Bora umemkumbushavyura ni nyie wajangwani kwenye mafuriko
Na vile ulivyopeke yako, wamekuandama mpaka basi.vyura ni nyie wajangwani kwenye mafuriko

Umekula?Wazima
HahahaaIna maana unajisahaulisha Kama vyura fc ni nyie wa jangwani pale kwenye mafuriko?

yani mkuu wakikuwa wanakuja kama nyukiNa vile ulivyopeke yako, wamekuandama mpaka basi.
![]()
![]()
![]()
Inaonesha we mgeni hapo jangwani. Please usije ukalikana na la ndala fc.Hahahaa
Mnataka mturushie jina lenu hatukubali
Vyuraaaa![]()
Ndo manakehii ndio Raha ya JF kudownload picha uamuz wako maana hii picha ndio ingekuwa Wasap memory ingejaa kwa jins hii picha inavyotumwa kila mara

Kama kawa kama dawa
ShemdarlingNa vile ulivyopeke yako, wamekuandama mpaka basi.
![]()
![]()
![]()
Nipooo
Naitafta OT now, wa mchangani nimewaacha kwanza
Kombe la ligi kuu, walio beba mara nyingi
Yanga fc-26
Chura fc-18
hata mimi nawashangaa wanavyojitania wenyewe Vyura wamevurugwa hawajielewIna maana unajisahaulisha Kama vyura fc ni nyie wa jangwani pale kwenye mafuriko?
Niko biyeee madame. Habari yako vipi?Wazima wote
Mkuu asante kwa kuja maana walikuwa wanajiponda wenyeweInaonesha we mgeni hapo jangwani. Please usije ukalikana na la ndala fc.

Acha wajifariji kwanza.hata mimi nawashangaa wanavyojitania wenyewe Vyura wamevurugwa hawajielew
Mambo my wiiWazima wote