Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
Wivu tu unawasumbua
Wivu tu unawasumbua
Barcelona ni bingwa Sukari yaooooo
Njema kabisa habari ya wewe?Wakuu habar za jioni
Kesho ndo ataumia zaid mkuu
njema kabisaaWakuu habar za jioni
Hapo ilikuwa siku ile Ngoma & Tambwe walipombaka mnyama hadharani
Nyie mnasugua tope TU..sisi tunakwea pipa
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Njema mkuu....
Nmefurah kukuona
Njema bibie[emoji4]Habar ya jion
Hahahaaa....Sijui nianze mquote nani maana naona nimewekwa mtu kati kama vip tuhamieni kwa Barcelona
Iko njema sana kaka. Niaje kwako?Wakuu habar za jioni
Hapo ilikuwa mwaka gani?