Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,672
cheat chat ndo nini bazazi?Kikongo;
Tayari= tijari
Kuja. = kuya
cheat chat ndo nini bazazi?Kikongo;
Tayari= tijari
Kuja. = kuya
Hahahaa hapanaunapenda mkorogo![]()
![]()
![]()
![]()
Mekuletea kitu moya hakunaga tena tosali niniyooUmeniletea kitenge au mkorogo?
Kitu gani hiyo?Mekuletea kitu moya hakunaga tena tosali niniyoo
Shem umeingia na swali!cheat chat ndo nini bazazi?
Maneno ya bia mean chit chatShem umeingia na swali!
,kwanza mzima weye!
Habari ya usiku mkuuMzima kabisa kaka
Njema tu habari ya wewe??Habar ya usiku wana familia
Salama tu shemeji.Shem Habar ya wewe
Mimi hapana shemeji.
Kitu moya ya gold kwa ajili ya chiuno, cheni ya gold na saa ya rolex na vikukuKitu gani hiyo?
Niko vzuri, napuyanga puyanga tuuNjema tu habari ya wewe??
Mimi sielewi mkuu.Jamani mbona nimewauliza hapo hamjanipa jibu?
HehheeeKitu moya ya gold kwa ajili ya chiuno, cheni ya gold na saa ya rolex na vikuku