Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
HahahahaAnaruka ruka tu
Ana jikanyaha kweli na [emoji196] [emoji196] fc yake
HahahahaAnaruka ruka tu
Maneno ya mkosajiPhotoshop at work
Loh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hujui lolote linalo endelea bongo, kweli simba haina maana, hata wasahabik wake wameacha kufuatilia soka
Mtasubiri sanaasababu hajatumia kinywaji cha Penat[emoji4]
HHaha
Nauliza hivi humu Ndani Simba Sports Club mnyamaaaa nipo mwenyewe[emoji35]
Sijui nianze mquote nani maana naona nimewekwa mtu kati kama vip tuhamieni kwa Barcelona
[emoji106]Teh teh
Nashukur
Maneno ya mkosaji, kama soka la bongo magumashi mbona kila siku wanashiriki??HHaha
Wana jifanya et soka la bongo magumash, kumbe ni tim yao ndo inatia shda
[emoji15] [emoji15] [emoji15]salamu toka baharini![]()
Ndo na mi nashndwa kushangaaManeno ya mkosaji, kama soka la bongo magumashi mbona kila siku wanashiriki??
jaman mimi shida yangu sukari ya bure. nimesikia arusha wamegawiwa vipi jamani mbona tunatiana presha!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji15] [emoji15] [emoji15]
........[emoji125]..... Sio pa kukaa hapa.
Wivu tu unawasumbuaNdo na mi nashndwa kushangaa