“Waziri wa Fedha (Mwigulu Nchemba) umepewa kigezo hapa cha Trilioni mbili kwa Mwezi, tunataka Trilioni mbili kwa Mwezi muende mkatanue wigo wa kodi lakini pia mkatengeneze walipa kodi wengi zaidi”———Rais Samia Suluhu baada ya kuwaapisha Viongozi Ikulu Chamwino Dodoma leo jioni
“Trend mnayokwenda nayo sasa mnaua Walipakodi, mnaua Wafanyabiashara, mnatumia nguvu zaidi kuliko akili na Maarifa kupata kodi, sasa wale mnaowakamua mkienda mkachukua vifaa vya kazi, mkafungia akaunti zao na kuchukua pesa kwenye akaunti, akitoka anafunga biashara anahamia Nchi ya Pili”———Rais Samia Suluhu
“Mnaua Wafanyabiashara (kwa kutumia nguvu kukusanya kodi) mnapunguza walipa kodi, nendeni mkatengeneze na kutanua wigo wa walipa kodi, yale mengine yanayowapunguzia Watu ari ya kulipa kodi Waziri (Mwigulu Nchemba) naomba ukayasimamie” -——-Rais Samia SuluhuView attachment 1740564
Hapa kanikoshaaaa mama ...waleee jamaa wa tiaraaaeiiiii washenzii sanaaaa ...mtu ulifanya return za 18 wanakulazimisha eti hukufanyaHii ya kufungiana account na kukombewa pesa zote ilikua mbaya sana...
Wana freeze account kwa maslahi binafsi...
Unashuritishwa kukiri kosa ambalo hata hulijui ni kosa gani na kushurutishwa kulipa faini ambayo hujui ni ya nini...
Ukihoji unaambiwa ni maagizo kutoka juu...
10 tena kwa mama samia“Waziri wa Fedha (Mwigulu Nchemba) umepewa kigezo hapa cha Trilioni mbili kwa Mwezi, tunataka Trilioni mbili kwa Mwezi muende mkatanue wigo wa kodi lakini pia mkatengeneze walipa kodi wengi zaidi”———Rais Samia Suluhu baada ya kuwaapisha Viongozi Ikulu Chamwino Dodoma leo jioni