Makapuku Forum

Makapuku Forum

“Watanzania sasa hawana hofu chini ya Uongozi wako Rais Samia Suluhu, nawaomba waendelee kukuombea, na Mimi pia wasinisahau waniombee ili niwe Makamu wa Rais Mnyenyekevu, niwe Makamu wa Rais anayesimamia Wananchi wanyonge”- Makamu wa Rais Dr. Philip Mpango baada ya kiapo Ikulu ya Chamwino Dodoma leo jioni

“Nawashukuru Wapiga kura wangu wa Buhigwe wamefanya Rais ukaniona na kuniteua kuwa Makamu wa Rais, nawaomba Buhigwe CCM itawaletea Wabunge makini msifanye makosa warudisheni Wabunge wa CCM, nawashukuru pia Watanzania wote”- MPANGO
20210331_210529.jpg
 
“Nawashukuru CCM nilipopeleka jina la mpango kwenye Kamati Kuu waliunga mkono, nawashukuru pia Wabunge kwa kumpitisha kwa 100% , nilipata tabu wakati wa kumtafuta wa kumpa nafasi ya kuwa Makamu wa Rais, nikazunguka ndani na nje ya Bunge lakini baadaye nikarudi Bungeni nikamuona Mpango, Mpango ametulia, majina mengine wengine wana hili wana lile lakini Mpango ametulia”- Rais Samia Suluhu baada ya kiapo cha Mpango kuwa Makamu wa Rais Ikulu ya Chamwino Dodoma leo jioni
20210331_222032.jpg
20210331_222104.jpg
20210331_222130.jpg
20210331_222205.jpg
20210331_222240.jpg
 
Hizi za millard Ayo, mipicha kibao.

Nataka list tuu...just names and theirs respective offices.
Mabadiliko madogo ya serikali.
Fedha – Mwigulu
Tamisemi – Ummy Mwalimu
Muungano – Suleiman Jafo
Utumishi Mohamed Mchengelwa
Mambo ya Nje – Libelata Mulamula
Katiba sheria – Kabudi
Viwanda biashara – Kitila Mkumbo
Uwekezaji – Geophrey Mwambe
Kazi Maalum – Mkuchika

Mifugo Naibu waziri – Abdalah Ulega
Habari Naibu waziri – Pauline Gekul
Naibu waziri – Afya - Mwanaidi Ally Hamisi
Naibu mambo ya nje – Mbarouk Mbarouk
Naibu katiba sheria – Geophrey Pinda
Naibu Muungano – Hamad Said Chande
Naibu Fedha – Masauni Hamad
Naibu Uwekezaji – William ole tate

Katibu Mkuu Kiongozi - Hussein Katanga
Wabunge wateule
Bashiru Ally
Mbarouk Mbarouk
Libelata Mulamula
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom