Makapuku Forum

Makapuku Forum

“Tutabaki na kumbukumbu, Magufuli alikuwa mpiganaji wetu na mzalendo wa kweli, sio tu kwa maslahi mapama ya watanzania bali ya Umoja wa Afrika, mtetezi wa uhuru wa bara la Afrika ambaye alikuwa analenga kutimiza ndoto za mshikamano za waasisi wetu wa bara la Afrika.” Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Felix Tshisekedi

RIPMagufuli
20210322_134512.jpg
 
“Nina masikitiko makubwa yaliyojaa uzuni kwa kuondokewa na ndugu na rafiki yangu

Msiba huu ni mzito, hauwagusi watanzania pekee yake, kupotea na kuondoka kwa Dk Magufuli kumetingisha Bara la Afrika ." Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Felix Tshisekedi.

20210322_134645.jpg
 
“Nilidhani kwamba inawezekana ni muoga wa kusafiri kwa ndege lakini akaniambia hapana, anapenda kubaki hapa kuwahudumia wananchi wa Tanzania badala ya kusafiri kila pande” - Rais Cyril Ramaphosa
20210322_135401.jpg
 
"JPM ALIKUWA MZALENDO"- TSHISEKEDI

"Tutabaki na kumbukumbu ya mtu mpiganaji na mzalendo, siyo tu kwa maslahi mapana ya Tanzania bali pia kwa umoja wa Afrika, mtetezi mkuu wa uhuru wa kitamaduni na kiuchumi wa bara la Afrika, aliyekuwa analenga kutimiza ndoto ya waasisi wa mataifa yetu uliolenga kuleta umoja kwa Afrika na baina ya mataifa yetu.” Felix Tshisekedi, Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).

KutokaDodoma
TutaonanaBaadae
20210322_135517.jpg
 
Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni na Mke wake Janet Museveni leo wametembelea Ubalozi wa Tanzania Kampala Uganda na kusaini kitabu cha Maombolezo ya aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli.
RIPHayatiMagufuli
20210322_151034.jpg
20210322_151125.jpg
20210322_151149.jpg
 
“Kwa wale ambao wana mashaka kwamba Mwanamke huyu ataweza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nataka niwaambie aliyesimama hapa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye maumbile yake ni Mwanamke” - Rais Mama Samia
20210322_152856.jpg
 
NILIONGEA NAYE KABLA YA KWENDA TANGA
.
"Nimempoteza mlezi wangu...nashukuru nilipata nafasi ya kuzungumza naye siku chache kabla ya kifo chake...." Rais
.
Rais amesema alimuaga Hayati #Magufuli ambaye alimuambia aende Tanga kutekeleza ilani ya CCM. Anasema hayati Magufuli alimuambia kwamba anaendelea vizuri na apeleke salaam zake kwa watu wa Tanga.
.
" ..sikujua kwamba ananiaga...sikujua kwamba sitaona muandiko wake tena..." Rais SamiaSuluh Hassan
.
20210322_153944.jpg
 
Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya ameshindwa kujizuia wakati wa shughuli za kuuaga mwili wa Hayati Magufuli hapa Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma na amejikuta anamwaga machozi.

RIPHayatiMagufuli
20210322_154739.jpg
20210322_154812.jpg
20210322_154829.jpg
 
Kipindi Mh. Magufuli yuko Chuo kikuu UDSM Mchungaji ndiye aliwaunganisha Na Mama Janeth (Ambaye ndie mke wake sasa) Baada ya kujuana kwa kipindi fulani Mh. Magufuli na Mama Janeth waliamua kufunga Ndoa lakini hawakua na pete za harusi hivyo Mchungaji wao aliwanunulia pete na kuwafungisha ndoa Bila Tafrija au Sherehe yoyote kwani kipindi hiko Magufuli hakua Na Uwezo wa Kuweza kufanya yote hayo ikumbukwe alichangisha pesa chuoni hapo ili akatibiwe Maradhi yake ya MoyoUK, walipofunga Ndoa walikunywa Pepsi kusherekea baadae Mama Janeth alirudi nyumbani na Mh Magufuli alirudi Maabara kuendelea na Masomo.

Tunajifunza Mshikamano na Upendo

RipMagufuli
20210322_161756.jpg
 
Rais Mstaafu Kikwete na Rais Kenyatta wakiwa kwenye shughuli za kuuaga mwili wa Hayati Magufuli kwenye Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma leo.
RIPHayatiMagufuli
20210322_162346.jpg
 
ALIKUWA ANAJUA HADI IDADI YA SAMAKI
.
Rais Samia Suluhu Hassan alimuelezea hayati Magufuli kwa namna alivyomfahamu wakati wote wakiwa Mawaziri.
.
Rais Mama Samia anasema alikuwa anavutiwa sana na namna hayati #Magufuli alivyokuwa akifanya kazi, na alivyowasilisha hoja zake Bungeni.
.
"Alikuwa anafahamu barabara zote za Tanzania kwa majina yake, urefu wake na kiasi cha fedha kilichotumika kuzitengeneza. Kuna wakati pia alitutajia idadi ya samaki waliopo baharini....." Samia Suluhu Hassan
20210322_163246.jpg
 
Mama Janeth sisi tunakuombea kwa Mwenyezi Mungu akupe roho ya uvumilivu katika kipindi hiki.

Sisi Watanzania tunakuombea kila uchwao wewe na Familia yako

20210322_170019.jpg
20210322_165939.jpg
20210322_165922.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom