Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Msaidizi wa Rais "Mpambe" wa Rais (ADC-Aide De Camp) Kanali Bernad Paulo Masala Mulunga, wewe ulizoea kusimama nyuma ya Rais kuhakikisha yu salama. Tulizoea kukuona kila alipo Hayati Rais Dkt John Magufuli.
Leo hii unatoa heshima za mwisho, wewe umesimama kwa ukakamavu, yeye amelala, amelala kwenye jeneza, amelala na hatoamka tena. Watanzania tunakushukuru kwa utumishi wako
Leo hii unatoa heshima za mwisho, wewe umesimama kwa ukakamavu, yeye amelala, amelala kwenye jeneza, amelala na hatoamka tena. Watanzania tunakushukuru kwa utumishi wako