Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,369
- 12,469
Nakusalimu mimi

Nakusalimu mimi

Anaumia sana masikini bora alie tu kupunguza machunguMama Janeth leo anahangika sana kwa kulia... hatulii kabisa... yeye analia tuu...
![]()
Sijambo mimi tetra za weweNakusalimu mimi![]()
Huzuni sana...Anaumia sana masikini bora alie tu kupunguza machungu
Wangempeleka tu chatoHuzuni sana...
Anapiga piga piga mikono ya kiti kila mara kwa uchungu...
Niko poa, mambo yanasemaje?Sijambo mimi tetra za wewe
Yako poa kabisaNiko poa, mambo yanasemaje?
OkayYako poa kabisa
. Siku njema kwako Shunie
Shukrani tetra na kwako piaOkay. Siku njema kwako Shunie
Hivi hata picha zao zipo kweli??JPM AACHA WATOTO SABA, WAJUKUU 10
"Kuhusu familia Hayati John MAGUFULI alifunga Ndoa Takatifu mwaka 1989 na Mama Janeth Matias (Magufuli) mpaka mauti yanamfika ameacha Mjane na watoto Saba (Suzana, Edna, Joseph, Jesca, Ruth, Jurgen na Jeremiah) pamoja na wajukuu 10" Profesa Palamagamba John Kabudi.
KutokaDodoma
PumzikaBabaView attachment 1731655View attachment 1731656
Nakusalimu brotherHivi hata picha zao zipo kweli??
Jesca ndiyo anajulikana sana...JPM AACHA WATOTO SABA, WAJUKUU 10
"Kuhusu familia Hayati John MAGUFULI alifunga Ndoa Takatifu mwaka 1989 na Mama Janeth Matias (Magufuli) mpaka mauti yanamfika ameacha Mjane na watoto Saba (Suzana, Edna, Joseph, Jesca, Ruth, Jurgen na Jeremiah) pamoja na wajukuu 10" Profesa Palamagamba John Kabudi.
KutokaDodoma
PumzikaBabaView attachment 1731655View attachment 1731656
Amen. God bless youShukrani tetra na kwako pia
Salama brother, vipi habariyo?Nakusalimu brother
HakunaHivi hata picha zao zipo kweli??