Nitakashauri kapunguze kula...
Ok sawa Shunie, asante sana...Pole sana sana baba wawili siku nyingine utushirikishe baba wawili usiwe peke yako sisi ni kama ndugu hapa japokuwa wengine hatujuani
HahahhaNitakashauri kapunguze kula...
Chips zege, nyama choma mishkaki, pombe kanaonja onja tu...
Na awe anakunywa maji kwa wingi... kavivu kunywa maji...
Kwema baba wawili tumekumiss tuOk sawa Shunie, asante sana...
Kwema hapo lakini?
Nimewamiss pia shunie, uko sawa lakini?Kwema baba wawili tumekumiss tu
Kaatiifu sana na kananisikiliza...Hahahha
Katashaurika sasa
Nipo sawa baba wawili nafurahi kukuonaNimewamiss pia shunie, uko sawa lakini?
Kakishaurika utanipa mrejesho basiKaatiifu sana na kananisikiliza...
Katashaurika ndiyo...
Ondoa shaka... kanajijuaKakishaurika utanipa mrejesho basi
Mjomba mjomba ...unaendeleajeeeOk sawa Shunie, asante sana...
Kwema hapo lakini?