Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Yes naona,Moto nahisi umetokea jioni hii
Yes naona,Moto nahisi umetokea jioni hii
Kwa muda gani?
Asante sana mjomba...tumeshapoa..Pole sana mjomba ...
Pole sana sana baba wawili siku nyingine utushirikishe baba wawili usiwe peke yako sisi ni kama ndugu hapa japokuwa wengine hatujuaniNipo shunie, nilikuwa na matatzo, ila kila kitu ni mipango ya Mungu...
Kwema hapo? Polen kwa kuunguliwa kijiwe chenu na Bwana Mswati