Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
MhNamaanisha the moment you say yes...
Hutakaa utoke...
Mbona unanitisha sasa
MhNamaanisha the moment you say yes...
Hutakaa utoke...
Usiogope siyo kwa ubaya embu sema yes ule mema...Mh
Mbona unanitisha sasa
Usiogope siyo kwa ubaya embu sema yes ule mema...





Niacheee mema yapi hayo
HahhahahaHiyo "Niacheee" umeitolea puani...
Mema yale utakayotaka wewe ule...
![]()
Why not... kwa nini nisiweze...Hahhahaha
Utaweza kunipa ninayotaka
Why not... kwa nini nisiweze...
Nakumudu vizuri tu...





Najiamini sana...
Mkaka unajiamini wewe
Msemo tu dadaDada unamaanisha nini eti
Ila nimekumiss ngoja kwaresma iishe nije kidogo kunywa mbili tatuMsemo tu dada
Hivi kwani hili jibu natakiwa kujibu la nini etiNajiamini sana...
Nasubiri jibu langu la ndiyo umekubali...
Unatakiwa kujibuHivi kwani hili jibu natakiwa kujibu la nini eti
Kumbe hivyoUnatakiwa kujibu
"Ndiyo Smart nimekubali, nitakusindikiza"
😘😘Kumbe hivyo
Nimekubali smart nitakusindikiza
Hahhah sitaki
Malizia na "Nimekukubali pia"
Nitaweza kweli
Utaweza hakuna kigumu chini ya jua...Nitaweza kweli
mkuu umeachana na mahondaw?Utaweza hakuna kigumu chini ya jua...
Kama utaweza kunisindikiza, huwezi shindwa kunipa jibu la ndiyo... 😉