Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Ushafika mpaka hukoUstaarabu mkubwa tu...
Hata ile ya pale Tegeta pia kuna ustaarabu...



Ushafika mpaka hukoUstaarabu mkubwa tu...
Hata ile ya pale Tegeta pia kuna ustaarabu...



😅 napita pita tu... siku nisindikize...Ushafika mpaka huko![]()
Ngoja kwanza nifikilie ombi lakonapita pita tu... siku nisindikize...
Nikukumbushe lini tena... ila sitakusumbua...Ngoja kwanza nifikilie ombi lako
Bwana subiri ujue kwenye kumuomba mtu kuna mawili akubali au akataeNikukumbushe lini tena... ila sitakusumbua...
Nipo kwenye upande wa kukubaliwa sababu ushaanza kwa kunita "Bwana"Bwana subiri ujue kwenye kumuomba mtu kuna mawili akubali au akatae
Aaah wapiii we jipe moyo tuNipo kwenye upande wa kukubaliwa sababu ushaanza kwa kunita "Bwana"
![]()
Sijipi moyo ila najiamini sana... 😉Aaah wapiii we jipe moyo tu
Sema kweliSijipi moyo ila najiamini sana...![]()
Yesu na Maria tena...Sema kweli
Mi nasoma tuSema kweli
HahahahahYesu na Maria tena...
Najiamini sana najua huwezi kuniangusha![]()
Hiyo furaha kwangu ina maanisha umekubali...Hahahahah
Hakuna bwanaHiyo furaha kwangu ina maanisha umekubali...
Unaniita "bwana" tena...Hakuna bwana
Wanasema ukichoka kuficha siri fumaniwa yaishe.
Umetoka wapi we dada
Dada unamaanisha nini etiWanasema ukichoka kuficha siri fumaniwa yaishe.
Kunishika pabaya tenaUnaniita "bwana" tena...
Na nitakushika pabaya na haswa...
Nisindikize tu...
Utarudi safe and sound...
Namaanisha the moment you say yes...Kunishika pabaya tena