ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,104
Mimi siwezi kuwaamini kabisa.. labda mama pekeeAcheni kutusingizia bwana sisi watu wazuri sana
Mimi siwezi kuwaamini kabisa.. labda mama pekeeAcheni kutusingizia bwana sisi watu wazuri sana
Haonekani sasa, nadhani amehama mjiHhahahahha mtu mnaishi wote tanga
Sure[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wafanya diet kazi kwenuView attachment 1696683
Wewee huyoo[emoji2]Inaanza hiviView attachment 1696635
Iko poa pia mvua tu na baridiEeenh baba wawili
Weekend yangu iko poa kabisa sijui wewe
[emoji28][emoji28][emoji28] usitufanyie hivyo bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeanza si mlikimbia nyie uzi mmeuacha peke yake kwamba asipokuwepo shunie na makapuku imekufa
Yaani leo kwenye EPL ni vita ya Man City na Liverpool.Na leo ndio jumapili sasa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii ni kweli kabsa, ukimfanya wa gharama zaidi kuna watu wataogopa kumuingiaSauti inasikika vizuri au tuongeze [emoji1787][emoji1787]View attachment 1696684
Upande gani wa jiji ulipo angalua nije nipumzike?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe si tupo wote dar mbona huku kwetu leo hakuna jua kali
Basi mtapata umeme bila mgao kama huku kwetu.[emoji23][emoji23]Tunafanya sana
.......Ukilala chali!!!Mimi nikilala chali jamani lazima niote hayo majinamiziView attachment 1696672
Na sisi hatuwaamini hivihivi tunaishi na nyinyi kimachale machaleMimi siwezi kuwaamini kabisa.. labda mama pekee
Yupo tanga uko hawezi hamaHaonekani sasa, nadhani amehama mji
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mimi huyuuuWewee huyoo[emoji2]
Mna raha ukoIko poa pia mvua tu na baridi
Sasa mbona mlikimbia uku[emoji28][emoji28][emoji28] usitufanyie hivyo bwana
Simba hawakupa stressYaani leo kwenye EPL ni vita ya Man City na Liverpool.
Kwenye VPL ni Simba na Azam.
Kimoyo kinanidunda tu hapa.View attachment 1696686