Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mimi naona ni kinyume kabisa, nilikuwa nasoma uzi flani mida si mrefu "jinsi gani uligundua umeachwa" mule ndani wanaume wamelalamika sana jinsi walivyochezea vibuti...nyie wanawake sio watu wazuri kabisa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sisi watu wazuri sana sema huwa mnakosea tu jinsi ya kuishi na sisi
 
Mimi nikilala chali jamani lazima niote hayo majinamizi
20210207_130425.jpg
 
Back
Top Bottom