Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Naaam kwahiyo mzidi tu kuwagharamia babe zenuHii ni kweli kabsa, ukimfanya wa gharama zaidi kuna watu wataogopa kumuingia
Naaam kwahiyo mzidi tu kuwagharamia babe zenuHii ni kweli kabsa, ukimfanya wa gharama zaidi kuna watu wataogopa kumuingia
Saaa hivi jua kaliUpande gani wa jiji ulipo angalua nije nipumzike?
Maana pande za huku kwetu kuna joto kama moto.
Loooh!!
Kama alivyolala huyo mdadai inaitwaje.......Ukilala chali!!!
Jua kali huku.Saaa hivi jua kali
Kuna mda kulikuwa hakuna juaJua kali huku.
Dar ninkubwa asee, yaani mi naona joto kumbe kwenu ni kibaridi
Azam siyo timu ya kuidharau.Simba hawakupa stress
Huku jua limechanua tangu asubuhiKuna mda kulikuwa hakuna jua
Ukikutana naye mfikishie salam zanguYupo tanga uko hawezi hama
Leo hatari sanaYaani leo kwenye EPL ni vita ya Man City na Liverpool.
Kwenye VPL ni Simba na Azam.
Kimoyo kinanidunda tu hapa.View attachment 1696686
Dah huo mguu wewe mdada unatuletea mfadhaiko wa moyoAka kabeer katamu bwanaView attachment 1696734

Tulikuwepo,wewe ndio ulikuwa busy busySasa mbona mlikimbia uku
guu la shampeniAka kabeer katamu bwanaView attachment 1696734
Karbu shunie!Mna raha uko
guu la shampeni



halafu mguu wangu wa kawaida tu unanifanania na mwili wangu
Asante young zimefikaUkikutana naye mfikishie salam zangu
Eeeenh pole sana youngDah huo mguu wewe mdada unatuletea mfadhaiko wa moyo![]()