Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
Hahahah baba wawili bwanaNgoja nikae mkao wa kula[emoji28][emoji28]
Hahahah baba wawili bwanaNgoja nikae mkao wa kula[emoji28][emoji28]
Mlikuwepo mkawa mnaingia kwa kuchunguliaTulikuwepo,wewe ndio ulikuwa busy busy
Wewe ndio ulikuwa unaingia kwa kuchungulia kumbeMlikuwepo mkawa mnaingia kwa kuchungulia
[emoji28][emoji28] mbona umecheka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani mwili wako ukoje Shunie, tuanzie hapo kwanza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] halafu mguu wangu wa kawaida tu unanifanania na mwili wangu
Hivi mwili wangu si unaujua baba wawili napostig picha apaKwani mwili wako ukoje Shunie, tuanzie hapo kwanza
Mimi wala sijaingia kabisaWewe ndio ulikuwa unaingia kwa kuchungulia kumbe
Nimecheka na ukaribisho[emoji28][emoji28] mbona umecheka
Sijawahi uona Shunie, fanya kupost nioneHivi mwili wangu si unaujua baba wawili napostig picha apa
Ha ha haya Shunnie, ukiwa tayali uje tuNimecheka na ukaribisho
He heHa ha haya Shunnie, ukiwa tayali uje tu
Weeeh baba wawili hivi mjomba ako yuko api au kajinyongaSijawahi uona Shunie, fanya kupost nione
Jana ilibidi tuitishe kikao cha familia, maana sio kawaida yake, ana week sasa hajaonekana ..ni kumuombea tu, hachelewi kujinyonga yuleWeeeh baba wawili hivi mjomba ako yuko api au kajinyonga
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila jana nimemuona kaview status yanguJana ilibidi tuitishe kikao cha familia, maana sio kawaida yake, ana week sasa hajaonekana ..ni kumuombea tu, hachelewi kujinyonga yule
Kwa hiyo wana familia ndio kaamua kutu mute eeh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila jana nimemuona kaview status yangu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Itakuwa yupo humu jf ila makapuku haingii kasusaKwa hiyo wana familia ndio kaamua kutu mute eeh
Kwa style hii ya kususa usimsameh kamwe[emoji2],acha ambane na hali yake[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Itakuwa yupo humu jf ila makapuku haingii kasusa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa style hii ya kususa usimsameh kamwe[emoji2],acha ambane na hali yake