Yeah mimi niko poa kabisa hofu kwako ShunieUko poa lakini
Ndio ikoje hiyoJumapili ya chupa ya kijani![]()
Kumbe ulikuwa unajiandaa kunisalimiaBaba wawili nakusalimia tu mimi
Salama shunie, za kwako? Weekend yako inaendaje hapoPoa baba wawili za wewe
Kwa hiyo kuna mambo mazuri baadae kwenye huu uzi nisitoke si ndioJumapili ya chupa ya kijani![]()
Inaanza hiviNdio ikoje hiyo
Eeenh baba wawiliKumbe ulikuwa unajiandaa kunisalimiaSalama shunie, za kwako? Weekend yako inaendaje hapo
Nialike hata weekend moja nije tupige wote vyombo,usinibanieInaanza hiviView attachment 1696635
Kwa hiyo kuna mambo mazuri baadae kwenye huu uzi nisitoke si ndio





Me najua siku zote we mlokole ujueNialike hata weekend moja nije tupige wote vyombo,usinibanie

halafu we si jirani yake sakayo upo tanga ukoPunguzeni wasiwasi sisi hatuna shida
Hahaha kumbe sura yangu ya kilokole basi inabidi niache haya mambo...halafu Sakayo mwenyewe haonekani sijui amepotelea wapi.Me najua siku zote we mlokole ujuehalafu we si jirani yake sakayo upo tanga uko
Aaah wapiPunguzeni wasiwasi sisi hatuna shida


tunaishi na nyie kwa akili kubwa
Hahahha yaani young sura yako ya kiupole sanaHahaha kumbe sura yangu ya kilokole basi inabidi niache haya mambo...halafu Sakayo mwenyewe haonekani sijui amepotelea wapi.
Mimi naona ni kinyume kabisa, nilikuwa nasoma uzi flani mida si mrefu "jinsi gani uligundua umeachwa" mule ndani wanaume wamelalamika sana jinsi walivyochezea vibuti...nyie wanawake sio watu wazuri kabisa.Aaah wapitunaishi na nyie kwa akili kubwa
Mimi napiga vyombo si mchezo..ukinikuta kwenye anga zangu ile sura utaisahau..mwambie Sakayo atoke kidogo huko mafichoni asitufanyie roho mbayaHahahha yaani young sura yako ya kiupole sana
Sakayo yupo